-Mtangazaji maarufu wa kituo cha redio ya Baraka FM, Diana Wanyonyi amekihama kituo hicho baada ya kufanya kazi kwa miaka mitano
- Diana anatarajiwa kujiunga na kituo kingine cha redio Afrika Kusini
Mtangazaji wa kituo cha redio ya Baraka FM,Diana Wanyonyi amekihamia kituo hicho baada ya kufanya kazi kwa zaidi ya miaka mitano.
Habari Nyingine: Sababu kuu ya William Ruto "kukasirishwa" na mazungumzo kati ya Uhuru na Mzee Moi

Diana ambaye ameshinda tuzo kadhaa za utangazaji ,anatarajiwa kujiunga na kituo kingine cha redio nchini Afrika Kusini.
TUKO.co.ke imetambua kuwa Diana atajiunga na kituo cha redio cha South Africa Broadcast Corporation.
Habari Nyingine: Hili ni thibitisho tosha Raila atashindwa katika uchaguzi wa Agosti 8?

Watangazaji kadhaa wamefaulu katika taaluma zao huku wakijiunga na vituo mbali mbali vya utangazaji katika mataifa ya kigeni akiwemo Sophy Ikenye na Edith Kimani.
Tazama video ifuatayo
Subscribe to watch new videosRead ENGLISH VERSION
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Chanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdiaYB2fZRmpK2Znpyuu63JomSmmZGnwqfBjLCYZqqVmbawecCpmK2ZXaCuu7WMmp2roZuWeqzB0qKlomaYqbqt